KLINIKI YA NDOA

Kiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everyday Kiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the chall

enges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks

about the challenges we face each and

everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everydayKiliniki ya ndoa is a book that talks about the challenges we face each and everyday

 

HOMA YA DUNIA


Je, umewahi kuahamu kuwa watu wachache husababisha matokeo ya mambo mbalimbali: wengi hutazama tu matokeo hayo, lakini maelfu na maelfu ya watu hawana habari juu ya tokeo lolote humu duniani? Jambo kama hili hutufanya kuwa na aina tatu za watu duniani kulingana na wazo la mtu aliyefikiri mambo hayo. Waweza kujitahidi ili upate kujua kwamba wewe ni aina gani ya watu.

Ndani ya Biblia kuna mfano pia unaowapanga watu kwa makundi matatu. Mfano huo ni juu ya: mwana mpotevu, kondoo, na shilingi. Jambo la kawaida kwa vitu hivyo vyote ni kwamba mwana mpotevu, kondoo, na shilingi vyote vilipotea wakati fulani na pia vikapatikana vyote mara ya mwisho kwa sababu ya upendo.

Nyagori M. J Oluoch ni mmoja wa aina ya watu ambao husababisha matokeo mema ya mambo. Ni hodari sana kwa kazi ya kuandika vitabu bora. Ni mwandishi pia wa, “Ndoa Yako Ina Sura Ipi?”. Kitabu chake kingine ni hiki ulicho nacho mkononi mwako sasa, “Homa ya Dunia.”

Mwandishi ni mwenyeji wa Mara – Kagera Conference, huko Tanzania. Anatuelekeza kutazama homa ya dunia jinsi anavyoitazama ndani ya kitabu hiki kidogo. Vitabu vyake hutoa mafundisho mazuri kwa njia ya kupendeza.

 

MLIMA WA BARAKA

mlimawabarakaMahubiri mema kuliko yote hapa duniani yalihubiriwa juu ya mlima. Sio juu ya mlima mmoja katika Afrika, lakini juu ya mlima katika nchi ya Palestina karibu na Bahari ya Galilaya. Katika Mlima wa Baraka. Mwandishi, aliyejulikana sana kwa sababu ya vitabu vingi juu ya Kikristo, ambavyo vinaeleza dhahiri maana ya ndani sana ya maneno ya Yesu wakati wa mahubiri yake juu ya mlima.

Kitabu hiki ambacho kimetafsriwa katika lugha nyingi kwa miaka mingi kimekuwa kikinukuliwa na watu wengi sana. Wachapishaji wa vitabu wanafurahia kwamba Mlima wa Baraka kitafahamika kwako kwamba ni kitabu ambacho kitakufaidi sana wewe msomaji.

(Visited 685 times, 1 visits today)

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *